watu wa vitron wanapigwa vita kali facebook, ati hio ni tv ya kinyozi na club ya keg

hii group facebook inajiita home glam nyumbani imekuwa ikitusi watu ya vitron tangu sijui lini. watu hawana huruma ati bado kuna tornado na sijui itel[ATTACH=full]485535[/ATTACH][ATTACH=full]485536[/ATTACH][ATTACH=full]485537[/ATTACH][ATTACH=full]485538[/ATTACH][ATTACH=full]485539[/ATTACH][ATTACH=full]485540[/ATTACH]

Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake

Skyworth wakae wapi?

Bonobo discussions huwa funny sana

TV ya peasants kama captain obvious

Fall where your pieces can be gathered

Hiyo group imewaka Moto the last few days. Watu wanalimana kulimana. Ni Vita ya birrioneas Vs peasants

Funny thing is companies like Hisense and TLC walikua the very same place kina Vitron wako a few years ago.

Mazda bongo is nissan vanette same as toyota townace.
Lakini unaona mkenya atanunua townace bei kali juu anaamini toyota is a better quality.

Remote ya Vitron yangu ilihatibika almost when the TV was still new. Other than that sijaona issue ingine.

FB convos are quite petty. Heri sweeps za huku that come from mouths that speak a lot of sense when not dishing out sweeps.