Watu wa usiku

Watu ambao wako on saa hii wanafanya nini tuseme ukweli

Usiseme ni usinginzi hauna

Commenting first in your own thread is like wanking to your own shadow - KLister circa 2013

2 Likes

@lilrogers GROW UP

http://treasure.diylol.com/uploads/post/image/215942/resized_philosoraptor-meme-generator-how-do-you-troll-a-troll-without-feeding-the-troll-810771.jpg

Why should any sensible person call themselves little.

Lil rogers =[ATTACH=full]11748[/ATTACH]

1 Like

shida ya 16 year olds kujua internet he thinks here we find lil wayne cool ningekua mod huyu angekula equator asap

SAITAN

Hehe na nilikua nikununulie hako kabollingo birthday uncle sorry @Unicorn

Ukamba itakuua wewe. Yaani you write just like the way you talk!

Sitaki hiyo. Ninunulie tu ka black forest kutoka kwa @vipersnake

Blackforest na stoney… Najilamba vidole. Kuna kitu mpaka ntalamba

yunikon = uwesmake

1 Like

Kwani mumeamkia mukobero asubuhi :rolleyes::rolleyes:

1 Like

Unaonaje huu mjadala wa ulambaji kipusa?

staki vita(mnyanganyiro ) kati yangu na @Unicorn …wacha nisiuchangie sana huu mjadala:D:D

:D:D:D

:D:D:D

@Purr_27 Wacha pia miye ntulie staki uhasama kati yangu na shoga wangu barafu duara @Ice_Cube