Watu wa Rongai mnaitwa hapa

First thing first am not new here so dont give me ‘Keti pale’ bullchiet.

I want to change place of residence maybe next month or nxt yr ivi.I want to move to Rongai and am totally new to that mtaa, yaani the furthest ive been on langata rd ni Galleria.
So am seeking your help guys on which part is the safest and efficient for a very small family guy.
Budget ya keja btwn 5-8k .
Na kama wewe ni agent unaweza nishtua

Peasant alert!!! Ngojea peasants wakusaidie mbirrionaires hawajui rongai iko wapi

6 Likes

@Deorro vapi veve usaidie kijana hapa?

Utakufiankwa bara bara

Kama unahamia Rongai na kibaru iko CBD hapo ni hasara unajiongezea…

2 Likes

Kwanza unaishi wapi saa hii? That way we can give you a much broader solution.

1 Like

Kibaru iko karen apo tu mbele ya bomas

Thika rd

Kifo iko kila place usiogope

1 Like

Wewe ndio ulikua una ongelewa juzi, kamshahara ya 30k

Si utafute place Nairobi west or langata. Coz you’ll be travelling against traffic to and from work so hutapata shida ya jam.
Alafu sijui zika Rd iko wapi.

1 Like

Exactly hujakosea lkn ni part time job.so naweza saka hustle ingine

Kutoka ronga hadi galleria kuna jam kweli

Wacha umama, huoni io budget?

12 Likes

enda paipo kwa kina mkamba @vuja de

5 Likes

Its tru ni 30k ata ilikua 25 nikajitolea kuosha magari zake kila siku ndio ikakua 30…kwanini nijigambe na rent kubwa sitaki kutajirisha malandlords.

11 Likes

Ni place inaitwa ivo ronga ama unamaanisha pipu huko embakasi

1 Like

Jikune pahali utaweza wachana na keyboard birioneas cc @rollout

5 Likes

Wacheni kuharibia Diaspora jina. Ngware nyinyi. Bro, welcome to ronga. But FTF, keti pale.
Rongai is a nice place. Your budget will get you a bedsitter or a one bedroom ukiingia ndani kidogo. We have 365.25 estate agents so just come over, tuta ku sort. But point of note, mornings and evening, it takes an average of 87min to move from rongai to Gareria , or back in evening. Njoo utambue masai lodge junction siyo Pen Sylvania avenue

4 Likes

ngombe enda lexicon ujuwe vujachieth anaishi wapi

2 Likes

Tafuta keja hio mtaa around Masai lodge ukue unakamua mkia za mmu

1 Like

Mi sio mtu kwenda out sana plus my job desctription requires me to be sobber 24.7