watu wa rhumba kujeni hapa

late night jams za aina hii zacheza hapa signet UTV. Mzuri sana za kukaribisha jumatatu

Asante

Ongeza bass, reduce treble and then reduce volume polepole mpaka ufike ile point u only hear the bass drum, guitar kiasi & the vocals. Then tuck yourself back to that warm duvet of yours @Purr_27. Thank me tomorrow

3 Likes

Niliacha lolwe ya signet ikizicheza 3:am then i dont know what happened. UTV Inazicheza which days of the week?ama pia ni kubahatisha?

I believe its sundays betwen 8pm-10pm, nunua tv/decoder iko na scheduler