Watu wa "quality tint oneni bei"

Na me nmeekewa 3m na 15k,aki hii Nairobi si unaconiwa ukiona tu‍♂️‍♂️‍♂️

Price za tirupati huwa tu penyewe,usisahau kwa hio bei hujaekewa labour. For a 40x24"ft ,numero uno in tint,3M ceramic, unaipata na $68-70 alafu labour mnaskizana na omosh wa south C ama kama wewe ni ndume halisi wa diy unacheza ki wewe. For that muhindi price na ni llumar heri nijishikie Hyper Optik ama Alpine precut both ceramic

Ati kuna an offer… weuh! Nijikute.

I have their film on my probox. It is worth it, if you know you know.

Bro hiyo doo alafu nijaribu DIY,noma sana. Ebu reccomend penye hyper na alpine hupatikana.

Ulieka gani?Atc charcoal,sport series,Atr charcoal series,irx series,ctx ceramic.

Kwani ni engine nanunua

hapa haziko common vile but mombasa naskia ziko but sijui shop gani .kama uko na mtu abdulland anaeza kushikia kamoja. ziko mob huko ju ya jua mwenda alafu ni bei ya mwananchi ama uongee na kina salihiya,mtu akubuyie idropiwe kwao hapo dubai,get it here at $7 per kg,its not that heavy

Sijui hizo majina but it cost me like 20k. Windscreen, ya nyuma and the 2 doors. They are really good in blocking the sun and visibility. No that nonsense of cutting it at the side mirrors so you can use them.

Hio advert si ya mapeasants kama wewe

Thanks alot

That’s good then.

Just go there and negotiate watapunguza kiasi …hao ndio waliniwekea in jan

Bei inawesa kuwa sawa since it depends with the % of opacity one requires

I imported global CR Classic ceramic from the us https://expresswindowfilms.com/shop/automotive/ceramic/cr-classic-ceramic/,used 18% i have used like 40% whoever is interested in buying the remainder i am selling ,should be able to fit a large SUV ,selling at 15k ,full price is 24,700 if you must know.This is a competitor to 3m crystalline,llumar ctx etc,. Hit my inbox if interested

Honestly speaking i haven’t heard of this…is it from xpel or another brand?

this is from global ,checkout global window films, actually it’s among the top few tints that can be bought retail all others you have to take your car to a dealer for installation which is over 50,000