WATU WA PHONE REPAIR

A friend needs her Dell phone’s screen replaced. Any engineers here?

@Chloe na @snapdragon kujeni mpeane quotation hapa

dell phone??? uko kwa chida …agiza ebay

Hio enda tu eBay uweke order mapema. Lakini labda jamaa wa SQNY anajua place unaweza ipata pale Rifa Rori

Kazi ya “Engineer” si kutengeneza screen ya simu