Watu Wa Nakuru

Yani miti yote mmechomea makaa
[ATTACH=full]146910[/ATTACH]

:D:D:D:D

:smiley:

Why do these governors insist na hizi Christmas tress if they will do something this shoddy

:D:D
Halafu wamestick Marabou Stork hapo juu.

Epic fail

:D:D:Dni fila mingo

Kunikisha kitunguu… Hio utaskia imekula a cool 100mil budget.

Hiyo kitu imekauka kama stork.

I think the purposes was to highlight the tourist attraction in the area, but still it’s a fail.

washa niingie iyo mtaa nirarue ngafana kofi…warristhat:mad::mad:

Weee wacha ilifaa kuwa Flamingo…Kazi ya tenderprenuer…

Huyo gavana hayuko serious

Na utapata muluhya @uncle nyam anataka kuichomoa aichangamkie chrisi

Looks Scandinavian to me.

Hapa kitunguu, garlic, leeks…zote zimenukia kwa account ya mtu moja!

Monumental failure at that!

I can only imagine the over quoting and kompyuta errors that have been done and made from national to county governments in setting up these Christmas trees that Kenyans DON’T FERKING really need

That symbolises what guys there eat…hakuna kuku hiyo mtaa.

:D:D:D:D