Watu wa Nakuru please

Is this still possible? Did it way back in 2006:

[ATTACH=full]376985[/ATTACH]

Mkifika juu ya crater, chifu chieth anakushow do you want it the hard way or the easy way
[ATTACH=full]376997[/ATTACH]

Ondoa ujinga wako hapa mbwa Koko!

Use the milimani access road nice scenery make sure you get some good camera and a huge group for security plus you can park in the carwash just behind church iko kwa junction from kmtc.

I thought the Maina side allows you to have a longer walk up to the top of the crater since the Milimani estate is quite close to the crater

There’s a fire dragon awaiting you there

Kuna route ya Engashura pia…but hiyo ni ya wale hawajipendi kamwe.

Billionaire hizo sides hakuna parking na utasanywa mimi nikienda huko i avoid hata hio route ya london hao peasants wa kioto wanaweza kutengeneza vilivyo…

Buda boss umetoka side gani ya Rukuna.Naona kama nakujua

Naks mimi hutembea sana almost thrice in a month kuangalia vested interests…plus i stayed in that town for 6yrs hakuna shimo sijui…

Pitia side ya mlimani…but you can also come huku kwetu kiamunyi upandie huko though not as steep but equally scenic and way safer

Kimakia sikudhani wewe ni wa hio enroutes

Mtaani ni hapo karibu na former St Georges Grassland

Mlitatua shida ya maji Kiamunyi…in the near future i might become your neighbour

Interested. Share the date

Nakuru lazima ujisaidie hakuna maji yote ilipelekwa kwa shamba za giddy…my old man harvests rain water…a lot of rain water…two weeks of proper rain is usually enough to last 5 months

Check out Let’s Drift Kenya. They organize multiple group hikes every month.
https://letsdrift.co.ke/calendar/

Kulikuwa na rumours that maji ya mvua hizo sides sio poa jua ya hiyo rubbish area huitwa kioto…
Upande wa bahati we harvest and tap from those pipes that go to Kabarak

I will try them out

I am trying to come up with a sizeable group