Watu Wa Kusahau, Place Your Predictions, Action Inaanza 6.00PM

https://www.kenyatalk.com/index.php?xfsoccer/matches/premier-league-2016-2017.15/bet

Ati nilisikia watu wa Man-U wana-form support group to help each other absorb the trauma…with Arsenal fans as resource persons wa kuwafunza kuvumilia?

Nimeona Bookmakers wamepea Everton odd ya 7.5 :eek:

Ju wako away at chelsea na form ya chelsea iko juu at the moment

Asante kwa kuweka hii thread nilikuwa nimesahau kuweka reminder. Jana kuna talker alinipeleka mahali bado niko na hangie ya Memories

Yes but Everton wana form poa Stamford

@Female Perspective alicross na wewe?

Ebu tuchambue game za leo

sidestepping…very deft…

Everton ikiwin itakuwa upset, but who knows epl is unpredictable

Naona Lukaku anasink Chelsea leo

expect awe contained na Luiz na Moses kama maji kwa mtungi…

Barkley na Bolaise watauwa Kante

Kante ni panya…atapita katikati yao “na wengi hawatamuona”…:D:D:D:D:D

Everton have not won at Stamford Bridge in 21 years

Kuna siku wametutoa kwa FA juzi tu kwanza iliniuma sana

@Web Dev alikupeleka wapi ?

Ara! I thought ulikufa nimeona RIP kila corner.

Hekaya boss.

Kuna hio london derby, Arsenal always experience a dip in form in november, could this derby be the beginning of a torrid run?