snr villager sijui nilipewa kwa kunyamaza
makende hii
Njuguma thiari kana diani?
At a koolibah hujamuona
@culture unanitaja juu ya kunipenda au juu ya fame? …
Cabaye=jirani
If these guyz were genius as u claim,yaani mpaka waleo hawajai gundua hii kijiji??
Multiple handles za Okiya na Jirani
KUJIA GUARANA NA CHIPS
LEO WACHA KUNYI ITULIE
enyewe cabaye alikua nugu sana hehehe nakumbukanga wakitusiana na MBOMB klist from 6 hadi midnight at some point MBOMB wanted to tap out n cabaye offered to sambaza him bundles vitu tu za utoto ndo walikua wanabishania hehehe!
are those yo nails!!! … mmmmmh!
I rememb
nail-wanker detected
Ule talker alikuwa anaomba omba hapa ndio atuundie KTalk Weekly alienda wapi? Ama alikamuliwa na @Deorro akanyamasa?
Some talker gave him a job. Akapotea after kuonja salo ya kwanza
Fixed
Uko sure?
Beatrice ako wapi? Cc watu wa mombasa ( @Meria Mata @Supu don na akina etc)
Beatrice na dame mmoja mluhya I can’t remember her handle.