Your ceo William is on radio jambo at this hour. The thing with me and this guy is that he is too over confident. I will not pass judgement but me thinks this is the most cunning of the cunning foxes. Ni hayo tu
4 Likes
Tuko na apathy
Anarudi by 6:30am.
Huyo mjamaa William aliperfect the art of giving handouts, tufefte fefte watu wa nduthi wanaingia box pap.
1 Like
Gonadular issues
https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2017/01/143275_9f29e9052a4b4c1e3db1b16b3a8dd5b0.PNG They share the same ideologies with Uk.
Kiambu tunarudisha William Kabogo mapema kabla jua iwake.
3 Likes
Umesahau SGS (Small Gonad Issues),strikes,Nys,Health,Uhurubond et al
Sasa wewe SGS ndio kusema nini. Kama huna kitu ya kwandika una ignore thread.
1 Like
kiambu na Kabogo
Kama haujui SGS keti chini acha panganga
Waititu hawezani na pharmacist.
Ile mambo yake na Keino kuliendaje?
Wewe na nani?
Afadhali kabogo kuliko waititu,new him way back akiwa njiru ward,huyu ni mwisi mkuuu.