Watu wa kanisa

Leo msitumie akina @kanyari na @Ng’ash zile begu na 310 zao…

Na wale hawajawahi shinda jackpot ya Sportpesa na unatamani uwe mshindi wiki ijayo, soma… Titus 3:16

Titus ni nani kwa sportpesa?

Mbona kunipeleka wild goose chase mchamaa??? :frowning:

[ATTACH=full]24040[/ATTACH]

1 Like

Sa manze @Illuminated mm ntatumia Kanyari 310 ama ntacheza sport pesa?

Kwanza change avatar yako to the one we all like…ile ya digital walk to the socket…

Nani abadilishe avatar?