Watu Wa kamafuta kidogo

So I am coming from work and pass by the butcher

Got a guy in front of me, non-cushitic

The guy after kupimiwa nyama na ikafika kipimo, anaomba aongezewe ‘kamafuta’

N he is fat

Yaani hata nimeshindwa ka anajipenda
[ATTACH=full]54407[/ATTACH]

Heheheee, Bingwa, where do you live? Those weighing scales are for tene!

@Wakanyama kuja tafasal kuna mtu anataka mafuta.

1 Like

Hush, I made a million already today… and got another on my schedule

#RichTalk

Hako ka mafuta kaukua kazuri ka ku karanga nyama, haitaji uongeze mafuta ingine hii ya kununua. Uliza Wakanyama

Mafuta ya wanyama ni cholesterol, that’s why in my tax bracket we only do lean meats

NASKIA UWES HUKULA NYLON

ukidai kamafuta nakata nyama ile nimekupimia kiasi nakuongeza mafuta,hakuna kitu napatiwa dago nikinunua

That butchery is dirty and unhygienic. Who did those tiles anyway? Very shoddy work.

Nyama ya hapo ndo among the few halal huku. Plus, huwa tamu

Ok, kwa hivyo ni nyama chafu halal na tamu?
(Sorry, nothing wrong with my thinking).

…kale kamafuta kadogo najua pekee ni Arimis

Boss, Nina 3 homes ju ya my nature of work. Instead ya kupack lodgo n I keep on coming back, I get a hao. So, si uchafu, ni economic status ya hawa watu wenu

[ATTACH=full]54419[/ATTACH]

Sported in Mombasa

waislamu wengi nimeona esp hawa fake huwa wanaishi kwa informal settlements, the kind of settlements you find butcheries with weighing scales as one seen in a photo posted above.

Wrong handle alert

Hii sikuachi.
Sema 'spotted’.

1 Like