Watu wa FAXE

Was going through the list of stuff that was auctioned recently by KRA. Naona faxe ni nyingi sana. @rollout na @pamba hii ndiyo mumekuwa mkidondosa nayo?

[ATTACH=full]55531[/ATTACH]
http://www.kra.go.ke/notices/pdf2016/Auction%20Kilindini%20(MCT,ALT,PO2,AWD,FFK&%20AUTOPORT)%2025th%20August%202016.pdf

Ni ya ma peasants, sio siri

Hii ni botosop kubaff

117 million up in smoke just like that.

Photoshop na kuna link ya PDF. Kwani weweeee? … ama wacha tu!

2015…

Imported Dec 2015, auctioned August 2016.

Hakuna kampuni imeona moto tangu second generation kama moonwalker. Small boys with little money and no power.

Carlsberg hatuna shida

lakini kusema ukweli hio pombe huonja something close to mkojo, but inalewesha!!

Munatusumbua sisi team faxe

Watu wa MOET mupo?
[ATTACH=full]55565[/ATTACH]

how much is this?

In USA it is quoted at $47.
Buying in Kenya you can expect the price from Kes 7,000 upwards depending on your retail outlet.

over heard that ,they’re the owners of Club Olduvai .

eeeeee, kaka, ebu tueleze; ulionja mkojo when ukajua vile inataste?

ps: Mimi siesguza faxe hata na dawa.

Nice twist.
Your turn @bibaru

Hizo faxe by now they are fast approaching expiry date, watu wa faxe @pamba and @rollout you have been warned.

Faxe at 12% alcohol, better even Bavaria with 8%.

2.5K if you know how to source 3.5K kwa watu wa kawaida.