Waisuke hivi vyote halafu waigongeshe gari-moshi Mutindwa? Tsk! tsk!
Nilipanda tu mat mbili za No 9 moja ilikuwa inaitwa Hotstepper na Ingine ilikuwa i think inatwa Black streetā¦tulikuwa tumeenda Eastleigh i think 10th street kukula Anjeraā¦that was before it came upmarketā¦that was the only time nipande too bad hazikuwa siku za selfies
1 Like
aahh kumbe we mtu wa jamu ā¦ rivals mbaya nilikuwa easich jo sa morning ma sare kwa wingi nikienda system!
1 Like
Route yetu ilikuwa na Prisoner, na Judge Not
1 Like
posting this nikiwa ndani ya LACOSTE juu ya wifi yao!
Nitakutengenezea doro wot, lega tibs au zigini. Wewe bring tu injera
unajua kutengeza kweli
Yes maāam!
Av just seen this mat ā¦mpaka a had to look for this thread! nje it looks plainā¦but ndani looks like a studio, gotta say its off the shizzy! Iko tu sawa ssana!