[ATTACH=full]64458[/ATTACH]
This does not look like a father to elderly sons. These are those ocha uncles (sanasana huwa last borns wa family ya mother ama fathe) who are msoto and always sumbua watu wajiji uwaskumie pesa…tunawajua sana. And since he is your dad’s yougest bro anaona kama wewe ni mtoto wake
Acha kusumbua watu wa city hawali maize hukam ka wako.loaded mbuzi lazima zianguke na mafala wapewe red bull’s kadhaa…
Na wauziwe kilakitu tena kwa bei ya juu
- mbuzi moja 15K
- jogoo 1.2K
Hawa watu wa city hujifanya sana !