watu wa city

…we were peacefully enjoying soul and rhumba at a hotel with the garden setting peacefully huku mashinani until a group of like 15 city people came…they have around 8 rowdy, drunk, momo, scantily dressed ladies…shouting allover…and being photographed allover…tunajificha tusijipate kwa selfie za wenyewe baadae tujipate sijui facebook na instagram.

Why do these city people when they come huku mashinani they like shouting with their actions na mavazi kuwa ni wa city?

4 Likes

How else would you know?

Mbisha, skechi, video, MRI, Xray, ama hata shadow ni muhimu Mkubwa…

1 Like

Utajuaje wameland, booze in tow?

University students ,sometimes hire a vehicle and go harassing people in village, and worse when they go for funerals !

Wee watu wa mashambani tulia. Achana na watu wa mjini watulize mwili bana.

Those momo ladies, ni wa mjini ama waliwaokota huko shags?

…vile wamevaa…tu very short shorts and very thick thighs na hiyo kulewa na hiyo kuvuruga yote…hakuna kienyeji yaani dame wa ocha anaweza kuwa na hizi ma confidence na kujiamini

1 Like

mbicha mbicha ya mathayo kisniper tafasare

…i left some moments later…am not team mbisha…one can get into so much problems by taking photos haphazadly

1 Like

…yes…the dudes johnie walker and the mayhem ladies clutching guarana cans as they cause havoc and as they were selfied and snapped by their bfs

…yes…the dudes johnie walker and the mayhem ladies clutching guarana cans as they cause havoc and as they were selfied and snapped by their bfs

MBICHA ya kisniper NILIWACHA since iliniwekaa matatani, didnt remember the flash was on mm huyu kijifanya na chat nikaenda kwa kamenje na kutafuta best shoot ya
kusafisha macho only to see flash ikimulika na kulikuwa usiku na dim lighting soo kila mtu alijua i was taking foto… sema ma ngumi kutembea na ma sweep ady chini, nilijipata chini
bila simu wallet na piece ya meno pia walibeba… but hakubeba ile picha ilibaki kwa akili…

3 Likes

:D:D:D pole mzeiya