Watu wa chai hua na haraka kwa matanga. Jayden is just relaxed waiting to take mzinga for Baba with boys

Kasongo wa chai ashatoka, Jayden is still seated , relaxed, waiting for form ya mzinga. Walevi as you know, tukishazika mlevi mwenzetu lazima ‘‘Uji’’