Watu wa cbd Nairobi mpo? Soma hii tafadhali.

[MEDIA=twitter]1544235003562917889[/MEDIA]

[ATTACH=full]448660[/ATTACH][ATTACH=full]448661[/ATTACH][ATTACH=full]448661[/ATTACH]

Nilihama izi hoteli za mawalalo, racist as F. Si heri nikule fish hapo City market.

Fish Fingers = Snake Fingers. Ogopa kanairo

Bei ilipanda to 400 due to inflation…

Tried it back in 2018 wasn’t impressed with those fingers wacha tu mimi niendelee kukula samaki real, tilapia

Nitapitia hapo nione

Leo nimekula mayai boilo only to be told bei siku hizi ni 25/= last was 20 Bob.

Iyo place ni ya kitambo Sana. Ukitaka fish fillet fresh si uingie hapo city market ujibebee

Mimi hushuku the proprietor of that place is a major wholesaler or supplier wa Tilapia hapo City Market, which is next door. That would easily explain how he/she is able to maintain a very steady supply of competitively priced fish, at prices no CBD competition seems able to match…

Niaje msenge ,huko kwenu othonzweni naskia mnakula umbwa

Kabla nibuy mayai ama smokie ama kahawa kwa barabara mimi hujiuliza huyo msee huenda loo wapi, halafu ameosha mkono, halafu akiingiza kidole kwa mapua atanawa?, halafu akichukua chwani mzee kutoka Kwa bra ya mama mboga wallet atanawa? Then mental clips of all sorts of infection and me getting a drip in Kenyatta hospital flood my mind and I end up not buying.

I know hii place,si ya walalo.
Hio msosi Yao iko freshi mbaya…

Hizo ni tabia za @PHARMACY

Unashidaga kuniquote kwani mimi ni bwanako ama mamako? Stupid

That is why you go for Corona vaccination and I don’t. Already got immunity for all the mention exposures.

You are less likely to develop acute gastroenteritis from street foods if they are served hot…Mimi mahindi choma nakula sana kwa streets lakini kama sio moto siwezi nunua

Was talking with my buddy about walalo. Hao magaidi wameigia all sectors of kenya bana. CBD wao ndio kusema. Shops, hotels, petro stations bana if the rest of kenyans dont take care kutakuwa somali land. Na wanazaana kama mapanya. Nilikuwa huko timboroa of all places those guys have shops there too.

Tulikuwa tunakula hii base kedu 09/2010 hivi. Looks like walipunguza size ya servings zao sana if that picture is anything to go by. Ilikuwa base fiti na popular sana ata kupata nafasi ilikuwa balaa.

This is the way