watu wa biz...advantages za kuregister limited company

na procedure ni gani and how much does it cost

akina okiya saidiya apa 2016 want to go BIG sio mambo za ku-uza ngwati tu :smiley:

pia wakiexplain…waongeze stori ya patents na kama zinaapply kenya

It limits liability to the Company’s share capital including assets. To satisfy any debts owed, a creditor can only attach and sell what you have declared to belong to the company in your filings with the registrar of companies. As a sole proprietor uki sue-iwa saa hii creditors watakukamua kila kitu hadi hizo ngwati ka zinaeza uzika. Downside ni corporate tax rate ya 30% on all declared profits but you can always pay yourself and others handsomely and subject that to individual tax rates while declaring losses year on end.
Incorporation ni kitu inachukua maximum a month and 25k on the higher side.

1 Like

Adv: You can charge all your expenses to the company(booze, fuel, house rent, bills) thereby reducing the taxable profit.

2 Likes

ile kitu natakaa sana kuregister ni kuhusu protection ya personal assets…
naskia if the company owes u money ata unipelekee high court, my personal assets vitu kama nyumba savings accounts zitabaki vile vile…
yani l owe pple millions na bado na lewa kama kawaida na probox yangu :smiley:

halafu incase of a divorce na madam…ata aende FIDA Hawezi guza mbeca za company :smiley: l can be bankrupt lakini naenda na magari kubwa za company

:DI like the way you’re thinking. Wako wapi hawa mawakili wa KTalk?

Nataka company yangu pia

Kwani unapanga ku-rip off watu?

The main advantage that I know of is you can compete for the 30% government tenders allocated to youth and persons with disability

Hizi tenders watu wanaget aje? manze na-apply left right center… hakuna… always zinapewa watu wengine, ithought the YAGPO cert would help me buy a probox
hii biashara inaenda aje?