Watu Singo

Kuna kitu nime observe na sielewi kabisa. Ile time mjamaa ako single, mtu hukaukiwa ile mbaya. Uliza kush kanono vile alianza nduthi. Lakini ukipata dame, ndio wote wanaku-want. Hadi wanakuja wanatandikana kwa nyumba yako unajiuliza how come nikiwa single sikuwa napiganiwa.
Kwani Kuna pheromones mtu hurelease when single kufukuza madame or is it that women like kept men.

15 Likes

No woman wants a man who no other woman wants

10 Likes

your attractiveness to a woman is judged by how successful you are with women…mi huwa nasema always make it a habit of having your ring on ata kama hujaoa whenever unataka ku approach mdem,atajipa ushangae

4 Likes

Inasemekana aliyenacho ataongezewa na yule asiyenacho atanyanganywa hata kile kidogo alichonacho.

11 Likes

wakati umekaukiwa una stress. ukiwa na stress your body language projects misery…nobody wants to associate with a miserable “loser”…

9 Likes

people desire what they cannot have, that why diamonds are expensive more than aluminium, but if aluminium was scarce and diamonds readily available then aluminum would be very desirable

1 Like

Kwanza mkienda kuwinda mkiwa maboyz pekee inakuwaga blunder sana… mnakaaga tu mareject… mih husema kaa unaenda function enda na dame ata kama ni cuzo yako… it works wonders, other women feel like they can trust u so unaondolewa roadblocks roho safi…

9 Likes

I have found myself asking the same question. When I was an active bajaj rider ilikuwa lazima ninunue the rare punani ndo nibinjane but since retiring from active nduthi service am now spoilt for choice.

1 Like

UPUUZII WHEN I WAS SINGLE I WAS GETTING WOMEN LEFT, RIGHT, EASTERN AND CENTRAL , AFTER KUOA SI SANAAAA

Ati after kuoa sio sana? You mean kuna time you slept around more waaa! Wewe sasa nakueka kwa prayer list yangu

2 Likes

ukiwa na dame buda unang’ara kururka. dame anakufanya unakuwa na bidii…

1 Like

hehehe all the above theories, except uwesmanunu check out

1 Like

Wacha kikufe hakina faida kwa dunia.

1 Like

Same way the rich get richer. It’s an attitude.

Hii pete haitoki na haitoki,from married to common office whores wote wanadroole,sio shati yako leo imepigwa pasi poa,sio wewe haupendi kupeana lift na GT wakati umebeba wife blablah.Imetosha.

nauliza the same question ata mimi.tho sijawahi kuwa single.but now arter kueka mtu kwa nyumba madem kama kumi hivi.na wanajua nimeoa.

Hawa ni wale walikusorora ukinusa panty baba! You are a walking bullseye!

1 Like

someone told me that some women prefer taken men because them(women) will not be expected to give alot(like a wife) hence she will just get what she wants from the man without many strings attached eg child, taking care of his house etc. The ladies here may give their take on this.

1 Like

Women are like stamp collection. Once you have one, you are off to find the one more rare than it.

1 Like

[SIZE=5]NO NEED TO SAY MORE…[/SIZE]