Watu ile mrengo ingine

Hiyo ni gift ya mothers day ameshika?

2 Likes

Btw yesterday evening I happened to be listening to classic FM at around 10.15PM while going home and they have a show by a Dr love. A gay Jamaa called in to send his love wishes to his Jamaa called Leon banae. Live live , no hiding

1 Like

Bwana hivi watu wanakuja na fujo aisee

Long as they don’t force their bs in our way we good

1 Like

Agenda must agend. Normalization of subversive aberrations is always driven by media hype. A few highly visible celebrities easily confuse scores of highly impressionable youths. Utapata hiyo phonecall hata ilikuwa timed for rush hour ama prime time for maximum reach.

3 Likes

Hio ni tricks za kuongeza listeners with fake callers kama show ya Kagayni

1 Like

The world is moving too fast

1 Like

Huyo Maina aliniletea vijana wadogo niwapatie kazi enzi zile tulikua tunabugia vileo buffet park. Sina maono hapa.

1 Like

Omera hapo naona kuna venye umejiuza

4 Likes

Hehe, alikuwa anaombea vijana yake kazi kwa all top executives. Haimaanishi sisi ni wa kipande yake. We had a table charged with a lot of testosterone that discussed local politics complete with constitutional lawyers. Hapo hata kunguru hungeleta.

Huyo Ni @perdition

2 Likes

Bwana toka kwa kabat pole pole.