Watu Husumbuana Nao Kwa Nini

Look at this one sulking like a baby. Why are you arguing with a baby instead of giving him a bottle of his favorite milk.

1 Like

Huyo polisi akona stress, mental illness is something we need to take serious.

Boss wake ameitisha kakitu na hataki kujua vile itapatikana but lazima akule hio gari.

Hakuna watu hutumiwa vibaya kama hawa junior police officers. Wana bosses wanyama, greedy na roho ya kishetani.

2 Likes

Hii mbwa itumee Haiti irudibikiwa Maiti

1 Like

Makarao wanarukana hiyo hongo…jamaa ni kama ametolea boss hongo akaruka jnr officer

Hehe take it easy man…