Watu Hubadilika

Leo nimesoma lesson. Nimetoka Westy biz fulani nikasema wacha nikunywe moja tao. Kwa entrance napata nigga tulisoma na yeye campo. Pia yeye alikuwa ameingia hiyo time. I offered to buy the first two beers. Big mistake. Fucker ilikuwa ishalewa so ikaanza kushika waitress matako na kuanza vita. It was very embarrassing. Nikaona kabla nijipate nikitrend wacha nitulie. Mabouncer wamemvamia wakamchapa kama burukenge. Nimejitoa juu sipendi ujinga pia. Ni kama wasee wengine wakilewa hushindwa kufikiria. I will never assume msee tukipatana we can just pick from where we left. I just made a few calls nikaambiwa huyo siku hizi ni jambazi sugu wa kimabavu.

You dodged a bullet…almost literally

Always back your boy…kesi badae

I won’t back a criminal who I last saw 2 years ago just to be “bros”. Hivi ndio watu innocent hujipata jela because of poor decision-making

Anangoja ukuje ndo apate balls za kudara waitress haha? Ulevi zingine si poa

No good story ever started with rational decision making.

Anyone you haven’t kept in touch for an year or so can be a time bomb… Good decision soldier

Kijana hiyo ni IQ ya inzi. Shut up when grown ups are talking.

and what are you sharing here now???
it’s enough that we can’t ask efidence but your story is very vatetic

Unasema nini?

Picha ya matako ya waitress angaa tusafishe retina kiasi

Imagine this
Unapata boy wako kwa street ako na ndai. (na ni fielder) he offers a lift unakubali kumbe hakujua polisi wanafanya raid on him and his gang . Kidogo kidogo marisasi na unawekewa bunduki.
Ama unaomba boy wako gari kumbe ilitumika kufanya vitu mbaya na upatane na karao trigger happy
Sometimes tunaishi by the grace of God

Kuna jamaa tulikua same year pale UoN akanicall three years after graduation na zile story za ati container yake imekwama kwa port, nimsort za kulipa duty bra bra… Nikamwambia apeleke hio ufala huko…

Kuna hekaya ilikuwa hapa msee alikuwa anataka kubuy some electronic, nikidhani TV, from his friend. Jamaa akapelekwa place huyo beste yake akaruka wall akaiba TV akamletea wakaponea mob justice. Tafuta hiyo hekaya

munene is that you??

Hiyo hekaya is among my favorite :D:D:D

Anima nanii

umeponea,hio brownskin ingewekwa madent