Watu wako miaka 40 wanatafutiwa kazi na wazazi, na bado siku ya kureport wanapelekwa kazini na mzazi. ao watoto hawatafika zile levels wazazi wao walifika. After miaka 40 izo family zao zitakuwa zimesahaulika. Watoto wanafaa kulelewa kama wale wa mwizi wa Sugoi. Wapate D+ kama watoto wa mkenya wa kawaida. Waishi kwa hostel Athiriver Daystar kama watoto wa wakenya wengine. After miaka 40 watoto wa Arror watakuwa washajua weaknesses za mama mboga, na watatawala Kenya miaka 100.
@sani hizi familia ziko na mali to last generations and generations.
Teaching kids to get stuff the hard is not really the way to go.
Work hard ndio wako wawe in the same situation.
watoto wa royal family huko united kingdom wanatumwa yuko Afghanistan wakiwa young wakajitengezee jina. wakijiprove wako capable wanarudi nyumbani kuwa allocated duties kulingana na capabilities zao. wenye wanabebewa akili na wanawake wanakuwa banished from the royal family ata kama baba yao ndio King.
sitambui politicians. hakuna siku nishai post kitu positive kuhusu politicians. politicians hawana pesa. wana madeni chungu mzima, na bahati mbaya wapoteze kiti, huwa wanakufa na stress ya pesa within miaka tatu.