Watoto wa old money

https://www.youtube.com/watch?v=Lbvi2qgm3FY

pesa ya wizi huitwa old money?

Uliza Ruto Ghaseer

Huyo mrefi sidhani ana kumbuka all the songs…

Pesa ni pesa.

Being privileged ni poa.

I was surprised to see Eric Wainaina there at the dinner. Didn’t realize he is from wealth.
Explains why he makes do with making 1 song every decade.

Ooooo ulikuwa unadhani Eric ni kanda ya Muguga kama wewe? Juaga kusoma hii maneno bana. Kaa chonjo.

Kanda ya Muguga ijulie kucheza piano wapi? Jiulize Muguga atatoa piano wapi…

Number 2, Eric amesomea shule very expensive sana pale U.S. … kanda ya Muguga itapewa visa na nani? Hio school fees itoe wapi?

Clue number 3, jamaa ameoa dame anaitwa Sheba Hirst. Skiza hio jina tena wewe mtu wa ocha : SHEBA HIRST!!

Kanda ya Muguga kama wewe mtatoana wapi na msichana anaitwa Sheba Hirst?!

Labda huyo wako ajiite hivyo instagram lakini jina ya ID ni Jane Nduta Nyakinyua. Ama Peninah Waitherero.

I can smell the alcohol from here

Hahahaha. You are a real troll man!

:D:D

:smiley: Eti kanda ya muguga