Hawa ndio wamefanya tukatiwe maji mombasa county.
Why can’t mowasco go to court to recover their millions instead of making everyone suffer.
[ATTACH=full]29342[/ATTACH]
@mabenda4 Uko number ngapi
Kwani hiyo maji ni mineral water?
Wame boycott too. Until Uwes. Meanwhile Uwes Tele…145 online!!!
Nimeona @Supu don hapo No. 120
Sweetie, kwani ulikuwa unaosha ferry?
Budah nenda uoge kwa ocean.
Kwani matumizi ya mwezi mmoja ni hela ngapi ndiyo mtu awe na bill ya laki kadhaa?
naona kuna balance of the last 3 years including current
How does that happen over there yet one month arrears is sufficient for disconnection without further notice?
kuna wajaka mob sana mombasa hawalipangi bill zao za maji
I dont know nimeskia ata mauniversitiies ziko na huge electricall bills na ati wameshindwa kulipa,
na ni za mwaka
Nimeambiwa maji imekuja leo @Meria Mata
Maji kwa wingi, Am cleaning my swimming pool now in readiness for valentines import
:D:D:D:D
wewe unafaa ulipe ushuru watu wa bara unamaliza treads za wanawake wetu