Watch out guys...

Wako na meno lakini midomo sijui hukua aje, wengi huongea nikaa wako na homa

Hii yote ni propaganda.

The accent, but which tribe in Kenya doesn’t have one?

Yes, but married a

muzungu

Nop. Still a strong man.

I dont mind their accent.Okuyu will have all good qualities including a fake accent but nawe pressure ya damu itakushika ama uthiokorwo

Kikuyu women huonewa sana kwa hii forum, jesso. I know kikuyu mothers who are married for half a century, or close, and they haven’t killed their husbands yet. If you want to marry a woman from any tribe, not just Kikuyu, do thorough investigation kama vile tu huwa unafanya before ubuy shamba. Tembelea hiyo family tree yao mpaka mahali utaweza. Chunguza tabia za wanawake wengine wa hiyo familia sio tu mamake na dada zake. Chances are that kama ndoa nyingi kwa hizo familia husimama ata yako na mpenzi wako itanawili.

They have speech problems but that’s nothing a little exposure can’t remedy. Otherwise they make good wives and hardworking too. Acha kuhate hehe

kamba:rolleyes:

sweetie hii yetu iko imara kama simba,kifo tu ndio itatutenganisha

btw im not hating, but kuna time nilienda kuvybe mmoja blueballs zikinisumbua uni, then i dont know what happened then i asked the girl "kwani unaniogopa?‘’ mimi SIKUONGOPI she said and i left :D:D:D

cunt relate.
sitafuti bibi

Its not the "Kikuyu tribe " that has a problem, ni vile wakikuyu ndio walichanuka mapema before any other tribes…that’s why those stories are common in Kiambu/Kabete areas…
Very soon these stories will be common in all tribes… At the end of the day it will depend on the lady’s personality…
My ex is a luhya , and that bitch was damn materialistic, if she got a chance she could sell her mother and father for cash…her moods were swung by cash, i know that one can kill you ukizeeka…

vile @under23 amesema hapo juu

So babako ndiye the only strong man ama?

True na usijaribu kumwacha… utaona chamtema kuni na kuni yenyewe

chukua Mtaita

unataka kutuambia kiambu ndo watu wamechanuka sana hii dunia?

sorry to that but yes, by being born and living in the vicinity of the biggest city in East and central Africa, most people in this area are money minded from childhood, ladies will love you at the opportune of making cash out of you.

sasa unataka kusema people born in or near towns are killers ama? juu tunajua nairobi isnt the oldest or the biggest town around. there are so many people born into privilege but are collectively better behaved. yours an excuse.