[FONT=courier new]Hebu litajeni jina hili lote na acheni uwoga kwani Kiuweledi hakuna Kosa lolote. Ni la huyu Mchezaji wa Japan aitwae Roasso Kumamoto. Na tafadhalini sana acheni kulitaja nusu nusu kwani mnatuudhi na Sisi wengine huku ambao tunalipenda sana hilo jina na hata Mchezaji mwenyewe husika.[/FONT]
[FONT=courier new]Acheni kumtaja tu kwa jina lake la mwanzo la Roasso bali litajeni lote Roasso Kumamoto kama vile ’ Maadili ’ ya Utangazaji na Heshima kwa jina la Mtu inavyopaswa kuwa.[/FONT]
ㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋㅋ
masahihisho kidogo
roasso kumamoto ni klabu ya mpira wa miguu iliopo japan na si jina la mchezaji wa mpira. https://en.wikipedia.org/wiki/Roasso_Kumamoto
[CENTER][ATTACH=full]179367[/ATTACH][/CENTER]
[FONT=courier new]Acha ’ Uhuni ’ Wewe na haliandikwi kama ulivyoliandika hapo juu. Ni Roasso Kumamoto na siyo Roasso Kuma Moto. Punguza Bange / Bangi tafadhali.[/FONT]
acheni kujifanya kuna mchezaji anaitwa roasso kumamoto hakuna mchezaji wa vile huko Japan isipokuwa kuna timu inatwa hivyo Roasso Kumamoto na ipo ligi kuu…acheni kupotosha
Sawa ni kweli hakuna huyo Mchezaji bali kuna Timu inayoitwa hivyo. Vipi Mkuu Wewe hiyo Timu ya Roasso Kumamoto unaionaje inaweza kuja kuwa tishio Kimpira huko baadae?
Majina ya Timu hizi!!! kuna Moja inaitwa LIBOLO/ Ilicheza na Simba inatoka Angola. Basi simba ilipopigwa Kimoja
Mtangazaji si akasema SIMBA WANASHINDWA KUCHOMOA HAPA…
sasa mkuu unataka watangazaji wa mpira wa Tanzania walitaje dhahiri si itakuwa ni balaa kwa watazamaji na wasikilizaji.
mechi zenyewe tunaangalia na watoto na unafahamu balaa la watoto wakishafahamu maana ya neno sehemu yoyote hulitumia.
inaonekana huwatakii mema watangazaji na ajira zao walizozipata kwa tabu na manyanyaso ya kutembea na vyeti mwaka mzima.
wajapani neno kuma (くま) lina maana ya dubu (bear) wanalitumia sana kwenye harakati zao za kila siku
kuna profeesor mmoja wa ukweli na si uchwara anaitwa kengo kuma na jamaa amebobea kwenye masuala ya architect na project nyingi sana kampuni amezisimamia. natamani siku moja aje atoe lecture kwenye chuo kikuu kimojawapo nchi tanzania.
[CENTER][ATTACH=full]179425[/ATTACH] kengo kuma | architecture and interior design news and projects [/CENTER]
kuna chakula kinaitwa kuma noodle ni mchanganyiko wa tambi, nyama ya nguruwe na mayai. Natamani mama ntilie wa kitanzania watuandalie chakula hiki kitamu. muhudumu niletee kuma noodle bakuli moja na chupa ya balimi.
halafu unakuta chakula chenyewe kinaandaliwa kwenye mgahawa wa kuma
[ATTACH=full]179428[/ATTACH]
[ATTACH=full]179429[/ATTACH]
na ukimaliza kula unakwenda kutembelea kuma river (球磨川 Kuma-gawa) uliopo maeneo ya kyushu na baadae unakwenda kupanda mount kuma
[CENTER][ATTACH=full]179433[/ATTACH][/CENTER]
baadae unakwenda kuangalia mpira kwenye uwanja wa taifa unaojengwa na professor [SIZE=7]Kengo Kuma[/SIZE] https://www.japantimes.co.jp/news/2015/12/22/national/design-by-architect-kengo-kuma-picked-for-new-national-stadium/
Acha kuanika starehe yangu wewe, mbona wewe ni teja muokota chupa maarufu hapo mitaa ya Kwa Mtogole mbona mimi sisemi. Bange ndiyo kila kitu katika maisha yangu!