Kuna viti nataka kuzi toa nairobi hadi nakuru na nataka mnipe mawaitha ya mode of transportation yenye ni cost effective yani transportation ya bei nafuu…nime jaribu wells Fargo but wana niambia ni kitu 9k hivi which is just high…
Asante
Kuna viti nataka kuzi toa nairobi hadi nakuru na nataka mnipe mawaitha ya mode of transportation yenye ni cost effective yani transportation ya bei nafuu…nime jaribu wells Fargo but wana niambia ni kitu 9k hivi which is just high…
Asante
Si mling’oa reli? Wekelea mgongo
Reli ina fika nakuru…? Wachanga ufala afisaa
enda country bus, talk to any bus heading to western, zinawekwa juu ya bus. very cheap
kwani naikuru hakuna fundi wa mbao?
wako lakini na nunua kutoka kwa duka
Try one of these transit lorries. Ukibonga poa na dere utasaidika.
Tafuta canter zenye hudeliver vitu Nairobi daily and ask the drivers to carry for you on the return trip when they are mostly empty. They are always too glad since whatever they make goes directly to their pockets. You only need the right contacts.
It will be easy to source the contacts from Nakuru.
Hio duka hawana transport for their clients?
Most transport only within Nairobi
they only transport within nairobi
At an extra charge hawawes enda naks?
Modern coast bulk
Tafuta bus inaitwa climax ama Kawere connection italeta mpaka hapo mosque ya Jamia. Though in my opinion ungetumia Wells Fargo because of proper handling of goods.
Nairobi- Nakuru mimi hutumia lorry za jeshi…if you have a friend hapo lanet barracks ongea nao, very cheap and safe. Transported a tv na fridge hivo
Tafuta @The gunner
:D:D:D:D yawah afande
Savage level 100 :D:D:D
Pigia Uhuru ama Raila Kura … Walisema watajenga sgr ifike mpaka Nakuru