wasee

Kuna something inamulika whiteclouds… Nani ako tao acheki atushow ni nene[ATTACH=full]19583[/ATTACH]

NIKO kayole bado naeza Saidia ?

UFO…aliens zimekuja kuokoa Kenya :cool:

I saw it, from south b to hurlingham, nilijiuliza maswali ia

Mkamba tulia

Nini ingine humulika isipokuwa light?

Niaje

Ni poa, uko how?

Niko poa pia. Kwani wewe si wa end month?. Naona watu wa end month wako name moto sana huku.

Not me, I drink any day, every day. Saa hizi imekatika kwa kichwa. I have to browse a bit before I sleep again.

Usilewe sana usahau mabataro ya bibi anko.

1 Like

He he, hiyo mpaka nishugulikie, part of the reason am awake this hour. Sitaki drama za kabuda kwangu

Toka ktalk basi. Shugulikia whole heartedly :slight_smile:

She’s sleeping contentedly ile design ya kutosheka. :D:D

Chapa ilale…literally?

1 Like

Wanatafuta el nino

1 Like

Kabisa! And it did, still purring gently here next to me.

niaje mathighs

Mathighs…all talk with no mbicha ni hekaya. Picha ya purring contentedly?

:D:D