Wasee, mlipata grade gani KCSE ?

Sisi ni incognito so tusiogopane. Ulipata nini KCSE? Mimi nilipata A minus.Haina haja mdanganyane.

Uwes Lichoti = E
Wakanyama = D minus
Mundu Mulosi= D plus
Mrs4letter = D plain. Baadaye akafanya secretarial course pale Nairobi Aviation.

Purr 27 = D plus
Nefertities= B plain
Spax= E .Saizi Ni broker wa samaki pale L.victoria
Gashwin = C plus
Meria Mata= B plus

The rest tuambieni

4 Likes

pass

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

@Jirani kujia guarana na chips hapa kando nikikunywa JAMESON .

1 Like

Watu wa D planje ndio hawa

@uwesmake kanunulie bwana yako ule mungiki

Don’t you know that all parents were straight A students in class?

2 Likes

YAANI DEM ( @Purr_27 ) AKIKUNYIMA COOMER UNACATCH FEELINGS TO THE GRAVE , HEHEHE ACCEPT AND MOVE ON HIO KITU BARAFU ICEPUBES ALISHANYAKUA AKACHOMOKA KAMA ULE JET LI WA SHEMALE @aviator

4 Likes

wewe ni mtu ya C minus.

4 Likes

HII JAMAA YA DANDORA AKIJARIBU SANA NI D MINUS

1 Like

Si mseme yenyu. Ama mnataka nianike result slip apa? Nilichopia Mangu wasee

2 Likes
  1. ALLIANCE HIGH SCHOOL National 276 A- 81.783 KIAMBU
  2. MOI HIGH KABARAK Private 272 A- 79.862 NAKURU
  3. PRECIOUS B. RIRUTA County 135 A- 79.604 NAIROBI
  4. KAPSABET BOYS National 249 A- 79.062 NANDI
  5. MASENO SCHOOL National 237 A- 78.701 KISUMU
  6. MOLO ACADEMY County 50 A- 77.270 NAKURU
  7. STRATHMORE SCHOOL Private 78 A- 77.060 NAIROBI
  8. CHAVAKALI HIGH SCHOOL National 287 A- 77.005 VIHIGA
  9. MARYHILL GIRLS HIGH National 185 A- 76.826 KIAMBU
  10. KENYA HIGH SCHOOL National 205 A- 76.030 NAIROBI
  11. MURANGA HIGH National 187 A- 75.916 MURANG’A
  12. NAIROBI SCHOOL National 283 A- 75.602 NAIROBI
  13. ST.ANTHONY’S BOYS’ County 237 A- 75.311 TRANSNZOIA
  14. ANESTAR BOYS LANET Private 81 B+ 75.128 NAKURU
  15. PIONEER SCHOOL Private 115 B+ 75.097 MURANG’A
  16. ST BRIGIDS KIMININI National 173 B+ 74.924 TRANSNZOIA
  17. STAREHE BOYS’ National 208 B+ 74.757 NAIROBI
  18. ST. FRANCIS GIRLS County 254 B+ 74.633 SIAYA
  19. MOI TEA GIRLS County 94 B+ 73.962 KERICHO
  20. MARY MOTHER – GRACE Private 22 B+ 73.588 LAIKIPIA
  21. LORETO LIMURU National 180 B+ 73.586 KIAMBU
  22. STAREHE GIRLS’ National 76 B+ 73.418 NAIROBI
  23. WAMY HIGH SCHOOL Private 94 B+ 73.414 NAIROBI
  24. MOI GIRLS’ – ELDORET National 214 B+ 73.333 UASIN GISHU
  25. ALLIANCE GIRLS’ National 250 B+ 72.902 KIAMBU
  26. MANGU HIGH SCHOOL National 211 B+ 72.792 KIAMBU
  27. NAKURU GIRLS’ National 156 B+ 72.730 NAKURU
  28. KISII HIGH National 323 B+ 72.266 KISII
  29. SUNSHINE SECONDARY Private 228 B+ 72.148 NAIROBI
  30. LIGHT ACADEMY Private 26 B+ 72.141 NAIROBI
  31. KIANDA SCHOOL Private 47 B+ 72.105 NAIROBI
  32. UTUMISHI BOYS National 192 B+ 71.651 NAKURU
  33. KANGA HIGH National 295 B+ 71.612 MIGORI
  34. FRIENDS KAMUSINGA National 284 B+ 71.533 BUNGOMA
  35. CHEMELIL SUGAR Private 88 B+ 71.386 KISUMU
  36. SEGERO ADVENTIST Private 182 B+ 71.048 UASIN GISHU
  37. MARY MOUNT County 137 B+ 70.644 NAKURU
  38. NAKURU HIGH SCHOOL National 193 B+ 70.577 NAKURU
  39. PRECIOUS B. – KILUNGU County 98 B+ 70.551 MAKUENI
  40. LIMURU GIRLS’ National 217 B+ 70.536 KIAMBU
  41. MOI GIRLS’ NAIROBI County 225 B+ 70.415 NAIROBI
  42. LENANA SCHOOL National 248 B+ 70.333 NAIROBI
  43. PANGANI GIRLS National 282 B+ 70.281 NAIROBI
  44. ST JOSEPH’S RAPOGI County 207 B+ 70.218 MIGORI
  45. MOI SIONGIROI GIRLS’ County 155 B+ 70.123 BOMET
  46. MAASAI HIGH SCHOOL Private 24 B+ 69.751 KAJIADO
  47. AGORO SARE HIGH County 196 B+ 69.737 HOMA BAY
  48. KANYAWANGA SCHOOL County 202 B+ 69.676 MIGORI
  49. ASUMBI GIRLS National 235 B+ 69.307 HOMA BAY
  50. KYENI GIRLS’ County 139 B+ 68.673 EMBU
3 Likes

Hio list utaiona kwa mandazi ya kesho.

1 Like

Si nadhani ranking hakuna these days?

1 Like

mimi nilipata Daudi Msalaba

2 Likes

Will I worry about the grades I got or work hard and make sure my kids go to better schools than I did?
Whatever grades I scored are irrelevant. Saa hii ni making mullah!

6 Likes

BANA FRIENDS SCHOOL TUMEENDA NUMBER 34 AJE ??? HAPA WAFORM TRIBUNAL BANAAAAAAAAAAAA

Mimi nilisomea BrookeHouse hapana tambua KCSE

1 Like

KAMA HIO BROOKSIDE MTU AKITOKA ANASOMEA DEGREE YA HOMESCIENCE FOR 11 YEARS VILE UMEKUWA UKISOMEA KUTOKA KLIST IANZE 2004 WACHa ikae

16 Likes

Starehe and Mang’u arent doing good.

1 Like

hehehe…
hii matusi ni learned.

1 Like

Haukusomea uko. Ulisomea Kamkuywa missionary school for the deaf.

7 Likes