wasafiri Sacco

Wish me safe journey to mumias elders[ATTACH=full]80242[/ATTACH]

9 Likes

hapo sawa salimia rafiki yako Rashid

3 Likes

salimia mm naliaka

1 Like

Safe journey just remember to maintain a safe speed na jioni usikunywe busaa ati ukifikiria alcoblow haiwezi i detect

2 Likes

Thanks guy I’m planning to be in mumias at around 10.00am I’m attending parents day of my son at booker

4 Likes

safe journ omwami…

1 Like

Safe journey muhongo.

1 Like

Safari njema Jaduong’.

1 Like

safiri salama munene

1 Like

Safe safari, enjoy your leave . Goodday all villagers

1 Like

Journey mercies bro. Travel safe

1 Like

Sachangwan tukipanda milima @ochithunder hii animal iko na nguvu[ATTACH=full]80245[/ATTACH]

12 Likes

[ATTACH=full]80246[/ATTACH] [ATTACH=full]80246[/ATTACH] M2 nimekuona

5 Likes

Safe journey poss

1 Like

Bon voyage boss.

1 Like

Sawa. Tumejua uko na Gari!

4 Likes

Safari njema omwami, ambia kijana asome zaidi fees haikotwi

3 Likes

Journey mercies afande!

1 Like

Ukifika kikopey,mutura Na supu, Gilgil weighbridge,yoghurt Na mahindi chemsha,ukifika pale Nakuru mortuary,plums za ten bob kasuku nzima,ukifika salgaa,Miwa ya 20 bob Na uji…mau summit huyo ka ukali Na tuskuma…kufika shule ukunywe half ya soda ya mtoto. Tumbo itaacha kukuuma aje? Safe journey

16 Likes

you are very funny so early in the morning!

1 Like