Was a man assaulted at club VIP ?

Waaaaaa…ati dry fry?

Nakumbuka one time tulikuwa na marafiki tumetoka job tukaamua kujivinjari pale F2, actually kulikuwa na club directly opposite the entrance to F2, can’t remember the name. Sasa tukainigia tukapata club haina wateja, tukajiseti na tukaitisha kinywaji. Makuro nao ndio hao, vile wameona wateja wamewasili they became energized and flooded our table with all sorts of offers.

Moja wao amejitolea kunipa lap dance. I declined not out of principle but out of past experience. Kuna time tulikuwa pale china center (ngong road), when dame alinipa lap dance na i was disgusted so bad I had to buy her a beer to leave. Alikuwa na harufu tu flani that was revolting.

Anyway, after the rejection the lale propositions to one of my colleagues. He accepts, and she starts to lap dance. She really puts on a show, the rest of us nasi are just slowly sipping our drinks discussing stuff about work and projects na kadhalika.

Sasa since she was also negotiating for a drink or some other form of compensation, and the negotiations seemed to have hit a dead end, and a vicious disagreement arose, the hitherto friendly lady turned into a hostile, vicious, scorned hoe of the worst kind

Kwanza alianza na kuangusha ma-glass na chupa zilikuwa hapo kwa meza while hurling obscene insults at us, which attracted the few other patrons at the club, but her main intention was to signal the rest of her clique that kuna watu wanafaa kufumaniwa hapa and they must raise as much hell as possible in order to extort money from us. And raise hell they did, ngoma ikazimwa, a small disagreement about a beer or something morphed into a scuffle that was threatening to get out of control. Na unajua ni wale ma-kuro wana sauti hoarse and loud kama wale wamama wa soko kama @ChifuMbitika.

Had it not been for the deftness and tact of the leader of our group, na vitisho kadhaa, and the name dropping of some security people in high places hio usiku might have been one to remember.

When in the territory of these terrorizers the best thing is always to take actions that deescalate a situation, not inflame it.

:D:D:Dmaasai ni maasai tu:D

I thread imejaa ma tackle:D

How do you de-escalate such a situation.

Anakuanga bar ya first floor ama huko juu kabisa? Naonanga tu msee flani anakunywa hapo first floor bila story.

There are decent clubs someone can do their thing without these ladies. If ua intention isn’t to f**k, don’t go there

Nakumbuka kwa thread I think nilisema anakaa tu a sick mkora :Dkumbe ni ukweli

Huyu maliar anakuanga mjinga sana.Ukikaa kwa seat ukichapa drink,atakuja ajifanye ati anataka kukaa kati kati.Ukisonga kidogo ati unampisha,anakuanga amezunda mchele lwa mkono.Saa zile anapita akifika between you and your drink ana angusha mchele kwa drink during that brief moment ame block view yako.Tuliletana juu siku moja karibu nimweke bare akaita maliar wenzake.Douglas ndio ali save situation.Nikama anajua venye kunaendanga.Alienda kwa counter akaleta drink fresh na glass akadai ati tulia imeisha.Nilichukua drink bila glass nikamumunya mosmos.

Aje sasa? @Starscream has the longest thread on ktalk about prostitutes

Oduori bado hukua huko? Jaruo fulani alikua na bar huko ndani alikua na bibi pia huko tu.

Siwezi lewa na lanye. Nalipa fixed price

:smiley:
Ukilijua jiji, you completely avoid breathing the same air with such people. They are poison.

Alikuwa anatekea floor gani babar nione kama tumefanya handshake?

Nakushow hio thrill ya dry fry inakuanga wazimu. Mm ni God ndio amemiweka vitu nmefanya hi kanairo ni kama movie

Hope ni wale maumbwa wa kurecord malanye na kuwa post Youtube

Agwambo ni danguro connoisseur. Your love of cheap pussay tamalisa wewe.

Kuna elder hapa hajaonekana Kwa kijiji for a long period, he brags that he’s in military , he likes big ass women

Figsed.

@Silverback83