Upo ukweli wa dhahiri kwamba hakuna masikini hata mmoja ambaye hajui raha ya kuwa tajiri. Na ni kwa kuwa masikini wengi ama wote wanajua raha wanazopata matajiri kwa wao kuwa matajiri.
Vivyo hivyo hakuna mwananchi yeyote anayetoka katika nchi kama za kwetu na hasa Tanzania ambaye hakerwi na ukosefu wa dawa kama Panadol katika hospitali zetu au hakerwi na kuishi kwenye barabara zenye vumbi na maji taka.
Kama kila mmoja anakerwa na hali hii basi ni dhahiri anatamani sana nchi yake iendeleee na kutatua changamoto ndogondogo kama hizo.
Sasa hawa watawala wetu ni kwa nini kama kweli wana nia njema sana wanataka kuitekeleza hiyo nia njema yao gizani.
Kwa nini wanatulazimisha tuzungumze wanayotaka kusikia tu na kukataa yake tunayoyafiki sisi wenyewe bila influence zao.
Ni kweli tunahitaji Treni kwa mfano ila nadhani tunahitaji treni inayokwenda maeneo ambayo ikifika huko tutapata tija zaidi kuliko kuipeleka Chato. TRENI ya mizigo ya Dar to Zambia iko na faida nyingi kuliko treni ya Dar to Chato hadi nyumbani kwetu pale Rwanda.
Unajua kichwa kikiwa kikubwa sana nalo no tatizo,yule mzee akili zinasafiri muda mrefu mpaka kufikia ubongo wa kuchanganua mambo.Punguani wa head yule.