Nauliza wakuu hii mutu ilikuwanga inanifurisha kwa Jukwaa kule nyumbani iko wapi?
Huyo yupo humu.
Yupo mbona naona ameedit I’d @Mshana Jr
Ila huku hachangamani sana.
Yupo humu sasa sijajua ni yeye au kuna mjanja anatumia jina lake
Nalog off
Kuna wajanja wameiba Identity za watu humu.
Hivyohivyo hapa inawezekana nikajua naongea na @GAZETI kumbe naongea na kitabu!
Nalog off
Hapana Mkuu, washawasha post zake zinajulikana na GAZETI halikadhalika sasa anapokuja JINGALAO akaanza kuifagilia Chadema
Lazima uingiwe na shaka. Washawasha atabaki kuwa washawasha na Chavichavi atajulikana tu hata akijipa jina la washawasha
@Cage Clay
Huku alipatwa na ubatizo mpya! Sijajua nini kimetokea Hapo!
Wadau walimuomba arejeshe Id yake ya Nyumbani, akakubali
Itakuwa kweli mana calls zinakataa
Ni kweli
Ile quote nimeitoa kwenye uzi wake alipochangia mada
Yupo yupo
Bado anausoma mchezo.ila yupo humuu,mi namuangalia tuu alafu nasema hiiiiiiiii.tehetehee
Na hata id moja yaya lizaboni eti imemchoka magu!!!.wanatuona watotoo
Ni kweli kabisa
Nalog off
@Mshana Jr huku hayupo.
nimetoka zungumza nae muda si mrefu ,eti yupo anaandaa mizimu yake ikawashe Jamiiforums.
amesema hawezi kuja.
kama ni yeye abishe.
Yupo na ile picha ni ya kwake aliwahi kuitupia JF kipindi kile kabla hatujaja uhamishoni misri