Wapi mshana jr na Demiss

Jamani si jambo la heri kuja huku uhamishoni na kumwaacha mganga wetu hatutakuwa salaam.
Mlio Karibu naye akina shunie na wengineo mwambieni Mr and Mrs kwamba tupo Kenya baada ya kufurushwa kwa Pombe.

Hahaaa. Wote washatia timu mbona.

Daaaah ukimbizi ndio umeanza rasmi

Wamekuja na IDs tofauti au?

Khaaaa! Iyo user name

Ngoja nimwite @Demiss njoo huku mdogo wangu.

d

duuuuuuuuuuu hyo id yako hatar

dada karibu ukimbizin

Hahahaa. Ahsante sana mdogo wangu. Ila umejua kuwahi kufika bana.

Nilikumiss jamaani. Mzima weye?

h

hahahaaa nimewahiii mapemaa nkamkuta mwifwa mwenyew mzee baba nkamwambia mlete dada yetu uko ntajua atakua kaboreka anavopenda kuchat

nimekumiss pia sana…tumekutana tenaaa

Hahahaaa. Acha kabisa mdogo wangu. Kiukweli jf haichoshi kabisaaaa.

Hakika mdogo wangu tumekutana tena yaani mpaka tunajiona kama tuko nyumbani. Hahaaaa.

Nipo dada sna rahaa huku nina week sna rahaaa

mi memmiss Behaviourist - ana udaku fulani hivi amaizinnnggg…thou yaliyomo yamo, the list na beira wazee wa makavu live

na hearly

cc @Smart911

Duuh! Pole mdogo wangu nina imani tunakoelekea itapatikana Insha Allah.

Rafiki nakusalimia tu mie! Hahahaaaa.

Asante sana rafiki nafurahi kukuona tena ugenini mwanakijijii mwenzangu

cc @Smart911

Usijali rafiki. Nami pia nafurahi kukuona rafiki ake.

Hyo ID mkuu umetisha

Heeh! Uliwahi siti

M

kuu nikupagawa kwng tu!! Yani nimeshindwa kuja na ID yangu ya JAMIIFORUMS TANZANIA . Ugenini