Wadau I need recommendations ya places ziko na strenuous activity Leo hii Nairobi au Thika such as bike racing, archery etc and their prices. I am somewhat stressed na sitaki ulevi.
Tembea kutoka westy mpaka naks. Kula lanye alafu rudi na 2nk
enda ocha, shika panga, teremka shambani, kata nyasi pandishia wazazi walishe ngombe. tizi tosha
Ishia Karura ujog and enjoy the scenery. Usitumie simu just live in the moment. All for a 100 bob
Tafuta @Colombo-Combolo he gives boxing lessons zitakusaidia
Kuna biking huko pia.
Thank you