[ATTACH=full]490352[/ATTACH]
Wee shifu, nilikwambia uko na shida. Stop taing us back to nonsensical issues.
There was a stall hapo close to bus station that used to sell those oldskool mixes, vynl mixes…Sauti ya Simba, Shashamane Intl, Mixx za Club Vybz, F2, Chocolate City, Club Zig Zag… et al. …his clientele was matts back then when they would play mixes… before Dj video mixes za kina Dj Bones and Demakufu bacame a regular thing… that guy was the real plug… not sure is he is still there though.
I had these two on cassette but I have them no more. Don’t know whether they are available on YouTube
Papa lefty !!
And Sista Lucy
Na Papa Charlie
Fuck you kîhîî you can’t understand these this wewe ni kîhîî ya kuzaliwa 2003
Usitukane mkunga,kaka. Miaka yanggu nitakugwai ,wewe ,Bibi yako na watoto. Gui !!
bado radio ziko na cassettes zinaundwa?
King TUBBZ!
ukedi iliwa chukuwa wote
Eeh ziko but in those old music shops
Papa Charlie sikuizi hukua MC club flani pale Park Road Ngara every Sato afternoon with Dj Charrah.Reggea Moto saidi.
Alifunga, niliona hapo sahi Kuna mpesa na masimu.
Kumb unaitambua sauti ya Simba, papa charlie na the late papa lefty. Juu ya hio maneno Kuna ngoma walicheza sana. Hapo chini agwas…
Uwes hizo unazipata base ya orodha, second hand items. Tapes ziko na unaweza record your favorite song. uliza @Wanaruona anajua mashimo pale kwa shabai. Atakutafutia. Liaise with him…:D:D
Kamjesh bunny Kwa shabai ni wapi? Bado uko kariadudu.