Lyons 18K pale Jumia. I think si TV mbaya ya ushagu…
It doesn’t matter these days, companies have started focusing on scale and affordability rather than quality. Wewe nunua uende zako, don’t beat yourself over something that could’ve gone either way
Jikune pole pole mkono wako mahali inafikia,Wacha kusumbua Kijiji.
If you have Internet there buy android TV Hisense or Tcl you will add a few Ks for the ultimate experience
TCL cheapest 43 inch ni 29K…Sioni haja ya kupeleka TCL shagz bana
Nunua zikiwa mbili ili moja ikiharibika watumie hiyo ingine. Imagine spending 18K alafu after 6 months usikie tena hawana TV? Buy something smaller. Kitu sure.
Mathe alibuy samsung 65 inch ikaenda mpaka migori
Ushagu ukimanisha ya wazazi ama yako ukifika kule unatumia?
yangu shagz
Kuna jamaa alibuy hii brand na more than a year haina shida yoyote despite being cheap
You can buy any tv but make sure it is HDR. Hizo hukuwa na more colours.
kama hauendi mara most ocha unaeza shika but naeza sema always go for the best brand, heri you delay hadi upate mbesha zinatosha kushika ile unajaribu ku avoid, unaeza shika samsung ama sony 43 inch ama hata ujipate umeshika 55 inch, my point is always kwa ready to delay kile unadai and you will realize utakuwa unashika vitu finest
Siku hizi TV zote ni sawa tu. You can buy an expensive model iharibike haraka ama ununue Chinese model idumu for long
Exactly my point. My skyworth ilirushiwa spoon ikavunjika. Nikaamua i will be buying the cheapest tv around
My kids know not to play and throw items near the TV… but when you have an expensive 70 Inch lazima ukuwe mkali. Never an issue
Vitron 43 inch smart android is 20k. Made in Kenya so good 14 months warranty.
Hapa kuna watu hawajui tv, wananunua kitu bora wanaonanga picha tu.Hii Kijiji imejaa hohehahe, wamejaza takataka kwa manyuma.
Wewe nunua t.v kisha njoo na hekaya
Read to understand…Is there need to buy an expensive TV ya shagz. A place you visit thrice a year
No need to buy a tv ya shags.