Wangwana, Unity Homes mnaonaje kununua?

https://unityhomes.co.ke/wp-content/uploads/2021/11/Unity-East-E-brochure.pdf
Nauliza mawaidha, leteni maoni, naenda kuziangalia wikendi. Najua watu watatu tayari wako huku,visokorokwinyo wawili nawajua mizingu ilirusha mighty dollar na Euro hii Agosti washahamia Unity. Mbwembwe za hii mradi huku Tatu City ni nini? nimeona bei zimeanza 37,000USD, hio 2bedroom ndio naeza jaribu kuigusa kwa sasa. Are they worth it kwa kuishi ama ningoje recession ipige watu msuuri nione kama naweza angukia kitu menshon na bei ya ‘economic pandemic’. Wataalam @Randy @Azor Ahai njooni.

Nice surroundings, exquisite finishes… Too small.

service fee ni ngapi?
hapa ndio mtego hukuwanga, north of 10k :smiley: ni kama unalipa rent

wanasema ni 2700

Service charge na per person sharing ni concepts sijawahi elewa

ii ni ya takataka, swimming pools na shared amenties…
per person sharing ata mimi sielewi na sioni kama ni kitu naweza tumia, wacha nilipe room yangu mia tano ata kama iko na kunguni:D

io sio mbaya lakini lazima itafikishwa atleast 5k wanangoja muingie

Vipi elder those houses are very okay si you loop me in nikule kacommission mdau,usiachilie commission iende

Good units, nice neighbourhood. But too small for family. Maybe for investment or before watoto wakuje

Space nayo wamenyonga sanasana kwa kitchen, lakini mie bado sina familia.

Basi uko sawa