Wangapi?

Kenyatalk theme song. Hii ngoma ni @rexxsimba na @Kodiaga waliandika

https://www.youtube.com/watch?v=0MxIuwBbEl8

Hii song TikTok ndio imefanya ika-trend. Ghaseer zinajifanya hazitaingia huko na bado zinakua influenced one way or the other. Sahii ata mtu anakazana kusema ako freshi barida ajue pia TikTok ndio ili-popularise hio phrase.

https://www.youtube.com/watch?v=aKV7v2Oh71U

Wewe captain obvious ni mtu meffi sana kuna siku umeniambia ati algorithm ya TikTok imegundua mimi ni mtu retarded sasa inanipea tu retarded content. Uliniambia ivyo adi nkaenda hosi kuongezwa maji. Shienzi sana.

U