Wangapi ??

What happened to Akina @Allforlust @Silverback83 @GeorgeeBestt @MpendaKuma @kalifa @Miki wa thika @Marcomlambez @lucasl80 @NacumWalai @Vinnywaf @Bokilo @Mzee Mashavu ? Mlipata kisonono ama ukimwi or mlisota mkipiga umalaya. Sioni threads za wangapi? Nani amekamua hii ? Nani anadai number? Mali Safi?

Watu wanaokoka brathe wanawacha umalaya. Wewe ndio umebakia huko Kwa madanguro…

itabidi uvuke huu upande mwingine.

Uliwapatia kaswende wakakufa

Walibadilishwa miili saa hii ni malaika

Tulikuachia malaya

@Staff Member anameza ARVs polepole courtesy ya umalaya

Senator mzee unasumbua. Meffi wewe

I’m here. Work related things had kept me away from this platform.