Wangapi Calabash? @cotedivore

Muache kusumbua elders, maumbwer.

3 Likes

Naskia wanaweka viagra pills kwa uji power

1 Like

Attention seeker

… ukipata yule anatayarisha poa na kuweka njugu kiasi kinachofaa.. hio uji power iko sawa. Sasa kuna wale wanatengeneza matope tu. Ptho! Niliboeka sijai taste hio stuff tena.

1 Like

I see a man of culture. Pewa like.

1 Like

Wewe ni 30 seconds man. Tunajua

1 Like

Kodivoa… usijiseme tunakuelewa. Sio lazima uweke elder kwa category yako ama namna gani kijana ya kirinyaga. Nilienda huko kwenu nkaskia mmatumia hii mshangao sana. “Eyaa!” Kiasi kiasi naskia “avai”… ujue nyinyi ni watu bure sana mlichagua Ruto.

1 Like

Not economically viable, viagra is to expensive to put any meaningful quantity into uji power and still make a profit.