2 Likes
Ala… naona umepata ubavu wako kaka.
Tuchanue vile mipango inaendelea pris. Hii kenya ni kusaidiana.
Karurashio hivi… ka traditional wedding pale… ka familia hapa. Wueh!!
All the best.
Naona elders wamekata kauli, raundi hii hawataki kupata jiko, ni kujishindia ka gas cylinder wakiendanga.
All the best mwanangu.
Hatutakuuliza kaka kijiko tukikuspot kwa streets kama umebeba your kid namna hii…
1 Like