wanawake wamezidi!!!

i saw this woman carrying a baby busy smashing side mirrors, indicators, headlights, wind screen, side windows ya rangerover 2012 brandnew ya bwana wake eti coz she suspects! i repeat suspect! wacha hata nieke na bold SUSPECTS kwamba ana cheat. ikaniuma sana kumwona aki chukua msumari na mawe na kuanza ku puncture spare-wheel. damn!!! aki ya nani hasira yangu inakuanga ya 3secs within which two strange things happen kwa body yangu. moja ni nakuanga blind though nimefungua macho, pili nakua bubu as in nakua speechless kitu inaninyonga kwa koo i cannot talk. hapo sasa chenye mi hutaka kufanya ni kukukula na meno. now this how i felt wen i saw the actions of this woman. aki imenichoma!!! naskia kama hio gari ilikua yangu.

1 Like

Mbisha???

Uliona mambo zako, it was a Freelander.

8 Likes

Naona kiwaruu ndio imeteremuka tangu Tuesday…unahitaji therapy…

3 Likes

Hasira ya mtu akitaka kufanywa single mother na single mother msherati.

Kwani wewe ni ‘The Jaws’ ; ule jamaa wa sinema ya James Bond mwenye hula vyuma kwa meno?

2 Likes

Findio

https://www.youtube.com/watch?v=sRj-agqkG-4

4 Likes

I feel her anger at some point my mother used some of her words

1 Like

Kama Suarez?

That woman should be deported…

2 Likes

Ingekuwa mimi nikuichoma

2 Likes

If you neglect your six kids unafikiri utapewa a medal? That man go what he deserved.

8 Likes

na vile aling’ang’ania kuzaa…!

5 Likes

You don’t touch a man’s car. Whether Landover or Kadudu. Whoever does that deserves to have their leg broken, and still pay for the damage.

2 Likes

:D:D:Dvile anaskia ni vile unaweza sikia ukikamuliwa bibi na watchman wewe ukisweat kwa ofisi

2 Likes

It’s tough being a woman… I feel sad for her

5 Likes

:D:D:D:D:D:D:D
Hiyo nu gani?

1 Like

huyo jamaa neglected the wife and the kid for quite some time,wewe hukuskia mama akicomplain ati jamaa amekataa kununua ata maziwa ya mtoto?hata kama ni kucheza inje have some decency towards your family na ukuwe na utu

11 Likes

Angechoma hata hiyo gari. Kama lazima uhanye then fanya mambo yako huko nje polepole, apana onyesha bibi na watoto madharau.

5 Likes

The stupidity of fulfilling up temporary gratification.

4 Likes