Wanaume

Nipo hapa hotelini fulani nanywa kinywaji changu polepole. Sasa hili jibaba laongea na simu kwa sauti ya juu. Hapo ndipo nimesikia likibishana na bibi kuhusu karo ya shule. Jibaba halijalipia mtoto shule na lipo kwenye hoteli ya kifahari na kisokorokwinyo chake.

Nasisitiza hivi: Wanaume wekeni familia zenu mbele. Shugulikieni familia zenu kwanza. Mkeo hata labda geti la Serena Hotel halijui lakini vimada vyako vyote umeshalala navyo huko. Mkeo hata hajui microwave ni nini na vimada vyako umeshazipeleka Dubai, Mauritius N.K. Anza na familia. Mpe mkeo starehe kwanza. Tunza familia kwanza.

13 Likes

Je, wewe ni mbongo ?

okay

mwambie hayo yote kabla ukamuliwe kwa mkia…

3 Likes

weka subtitles za githungu ama greek, githweri ni ngumu saana

1 Like

je, wewe ndiyo kimada wa hilo jibaba, ashawai kupeleka Dubai, Mauritius N.K ?

1 Like

North Korea tena

4 Likes

Yuwa manisha "Na Kadhalika "

2 Likes

white knighting ilikataliwa

6 Likes

wazi Truphena kiswahili mufti sana…lakini umeongea ukweli familia kwanza vimada baadaye

1 Like

Ni talker mgani husema ana bibi Tanzania? Mi naona bibi ashajua base sasa.

5 Likes

kisokorokwinyo. Haaa! sure we learn something new everyday…

4 Likes

Mimi sina, # hiding till valentines :smiley:

3 Likes

kwani hutaki return match na import?

1 Like

Thats why am hiding till Feb 14. Sadly can’t do without kisokorokwinyo.

1 Like

This female makes a sensible argument.

Mim nataka uwe kisokororokwinyo (whatever!) changu…unisokore nisokoreke. Ama uwe kimada tu-murder-ne

11 Likes

Here I am in a hotel nanywa my drink slowly. Now this father laongea and telephone with voice over . Then I heard likibishana and grandmother about school fees . Father is lijalipia child to school and is situated in a luxury hotel and its kisokorokwinyo . I stress this: The men lay in front of your family . Labour your family first. Your wife perhaps even the gate of the Serena Hotel does not know but all your mistresses have Shalala them there. Your wife does not even know what a microwave oven and your concubines have shazipeleka Dubai, Mauritius NK Start with family. Give your wife a comfortable first. Take care of family first.

From Gugu Translate

9 Likes

Picha ama skechi la libaba ama hoteli.

mboro simama akili potea

2 Likes