Wanaume wanakapitia, Taxi driver alirudi home Sato akapata bibi amefagia kila kitu kwa nyumba na kuamchia mtoto

Haha, jamaa ignored the red flag… Caught her cheating last year akaassume…Mjamaa amesema hataki stori za wanawake tena

1 Like

and even the kid was not his, maybe wa jamaa mwingine yule aliingia karura na akalenga story

Fear women.

Ndio maama wanachinjwa kama broiler

6 Likes

Ndio maana wanakatwa vichwa kama kuku.

Kama bado ako na hio taxi na Iko na mafuta I’d say good riddance if she didn’t take any crucial document. Tafuta vile uta lala, amkia job kama Kawa as you look for a bedsitter. Hama and if you really want, tafuta mwingine

1 Like

Malaya @TrumanCapote hawezi pitia hapa ,the story doesn’t suit her narrative

4 Likes