Kwa muda mrefu wamekuwa wakibezwa wanaume wa Dar kwa mambo yao rojorojo ila toka nmefika humu naona wanaume wa Dar ni ngangari kuliko hawa wenzetu mana naskia wanapewa kichapo na wanawake wao sasa ni bora uwe mwanaume wa Dar Aiseeh wanaume wa Kenya ni shida
Acha dharau wewe kijana. Kumbuka upo uhamishoni huku. Unamtukana mwenyeji wako au?
Futa Uzi wako
Jana nilikuwa Dar, kuna mwanaume nimemkuta anasafishwa kucha halafu awekewe zile za bandia.
Kule Kariobangi kuna serial rapist anatishia jamii ya Wakenya. Rape sio kitu cha kufanyia jokes, lakini inastusha sana huyu jamaa anabaka wanaume tu. Kama wanaume 7 tayari wamejitokeza mbele ya Polisi kuelezea jinsi walivyokamatwa na huyo jamaa na kupigwa pumbu, we imagine ameshawala unyumba wanaume wangapi. Wengi wao till to the grave hawatasema kama wameliwa kiboga.
Poleni sana ndugu zetu wa Nairobi.
Kwanini mnapendaga hizi ligi?
Dah! Huyo jamaa akikamatwa inabidi anyongwe mpaka kifa na maiti yake ipigwe risasi 24 kukomesha kasisa mtindo huo.
Hahhahahahahahaha…!!
Usishangae kuna jamaa wengine watajipitisha hapo mara kwa mara, na kufanya jogging usiku wa manane
Mmmh aiseee
Duh hii balaa
HahahaaA U MADE MY DAY aishiiii
Ugenini najifanya mwenyeji sijali, nikikosa msosi nala shemeji.
Hahahaaa. Wanahamishia ile ligi na huku etii.
Wageni wakorofi
Ingawa mwenyeji hasemwi, mgeni inabidi uvumilie tu…
Humu sote tumekua wa Village hii inathihirisha kweli kabisa…
Cc: @Mahondaw
Shhhh! Upo kwa watu mkuu
Tupo kijijini mkuu
Tz Bongo, ligi desturi
Niite mgeni mwenye gubu nawapigia nyumban nawapigia ugenini shubaamit