Wanaume kunengua viuno

kiukweli mashemeji hii tabia sio poa. yani mwanaume(30s) anasimama mbele ya watu anakata mauno (twerking)???
yani unazungusha nyonga hata yule mswahili Mimi ninaye mwaminia kunengua kiuno mpaka “paka” kahamia upande, hatoshi mboga.!!! Daaaaaah.
Yahuzunisha sana
[ATTACH=full]16743[/ATTACH]

[SIZE=7][COLOR=rgb(255, 0, 0)]POOR![/SIZE]

Gay thread.

[ATTACH=full]16745[/ATTACH]

swali linalochoma yaani burning question ni mbona ulikuwa ukitazama matako au makalio ya mwanaume?

7 Likes

Oe mwanangu. Walikua wanapita kwa zile road show trailers.

Weka mbisha, else, this is worse than hekayA. In the meantime tafuta mogoka, it will keep you busy from such crap.

Tuzo ya huyo mama ama mshe wa side ya right ndo hio inadondoka

MBONA WAKO KWA RING YA W.W.E